Please or Register to create posts and topics.

Mwenendo wa Bei ya Mchele pamoja na Mahindi katika Masoko ya Dar es salaam

Kwa nini katika masoko mengi ya chakula katika jiji la DSM  Bei ya mahindi na Mchele inazidi kuwa Juu. Nini maoni yako

Gharama za ununuzi wa mazao unaweza kuwa chini shida inakuja kwenye gharama ya usafiri na kodi za mazao zipo juu mno

mgayo group and RAK have reacted to this post.
mgayo groupRAK

BEI KUWA JUU INA SABABISHWA NA MAMBO MENGI, IKIWA PIA MZUNGUKO WA SOKO, (UHITAJIKAJI WA MAZAO HAYO)

Mfano unaweza kutumia gharama kubwa kufikisha mazao yako sokoni, na ukauza kwa bei ndogo kuliko gharama ulizo tumia sababu ni bei iliyoko sokoni.

hatuna mfumo rasmi wa kupanga bei za mazao,

biashara ya mazao ni biashara ya kubashiri ukikuta bei iko juu utapata, ukikuta bei chini itakukata pia.

Quote from The luktons Group on October 3, 2024, 9:21 am

Gharama za ununuzi wa mazao unaweza kuwa chini shida inakuja kwenye gharama ya usafiri na kodi za mazao zipo juu mno

sidhani kama usafiri na kodi (ushuru) vinaweza kuwa sababu kubwa kwa bei kuwa juu kwa Dar es salaam,

 

Follow by Email
LinkedIn
Instagram